Skip to main content

GST YAWASILISHA WASILISHO JUU YA FURSA ZILIZOPO KATIKA MADINI YA VIWANDANI

GST YAWASILISHA WASILISHO JUU YA FURSA ZILIZOPO KATIKA MADINI YA VIWANDANI

Mkuu wa mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akisikiliza maelezo katika banda la CST katika mkutano wa kimataifa wa uwekezaji wa madini unaofanyika katika ukumbi wa JNCC jijini Dar es salaam

Taasisi ya JIOLOJIA na utafiti wa madini Tanzania (GST) yawasilisha wasilisho juu ya fursa zilizopo katika madini ya viwandani katika mkutano wa Kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini jijini Dar es salaam.

Comments