DORCAS MWILAFI ATIMKIA CHAUMMA,ACHUKUA FOMU UBUNGE KAWE

 



Aliyekuwa kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Dorcas Francis Mwilafi amejiunga na chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA)

Bi Dorcas amejiunga na chama hicho  tarehe 15/08/2025 ambapo alipokelewa na uongozi wa chama hicho na kukabidhiwa kadi ya uanachama.

 Hata hivyo mara baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama papo hapo alichukua fomu ya ubunge, Jimbo la Kawe.

Comments