TUTAKABILIANA NA ATHARI YA MAFURIKO KIGOMA ASEMA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

 TUTAKABILIANA NA ATHARI YA MAFURIKO KIGOMA ASEMA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wananchi wa mji wa Kigoma kuwa serikali anayoiongoza itashughulikia tatizo sugu la athari ya mafuriko katika kata ya Matibuka na akasisitiza kuwa CCM imeanza kushughulikia kero hiyo na kuwaomba wananchi kumchagua yeye sambamba na wagombea wengine wanaotokana na CCM.

Comments