YANGA YASHINDWA KUFUZU
Yanga wa kimataifa wameshindwa kufuzu hatua ya makundi
Yanga wameshindwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika baada ya kupoteza mchezo wao wa marudiano kwa kipigo cha mabao 4-0 wakiwa ugenini dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Kabla ya mchezo wa hapo jana, Yanga walishinda mechi yao ya kwanza hapa nyumbani kwa goli 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa taifa April 8, 2017. Walikua wakihitaji ushindi au sare ya aina yoyoye ili kusonga mbele ya michuano hiyo lakini wametupwa nje kwa jumla ya magoli 4-1.
Kipigo hicho ni cha kwanza kwa Yanga katika michuano ya kimataifa msimu huu, kabla ya hapo walikua hawajapoteza mchezo hata mmoja kwenye mashindano ya kimataifa ndani ya msimu huu.

Comments