Mzee Ndesamburo afariki dunia.

NDESAMBURO afariki dunia.



Taarifa iliyoifikia Habari 101 hivi punde inaeleza kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Mzee Philemone Ndesamburo "ndesaPesa" amefariki Dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya KCMC, Mkoani humo. Taarifa za awali inaelezwa kuwa, Mzee Ndesamburo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na baadae akakimbizwa Hospitalini hapo kwa matibabu lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi na akafariki Dunia. Taarifa zaidi tutajulishana kadri zitakapokuwa zikitufikia.

Comments