Simba ni ileile! Mwadui watoka kapa Uwanja wa Uhuru
Simba ni ileile! Mwadui watoka kapa Uwanja wa Uhuru
Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui, mabao yaliyofungwa na Emmanuel Okwi (7, 67) pamoja na John Bocco (72).
Okwi alifunga bao la mapema baada ya kupokea pasi kutoka kwa Shiza Kichuya kisha kuupiga mpira uliompita kipa wa Mwadui, Anord Masawe.
Kikosi Simba: Aishi Manula, Ally Shomary, Mohamed Husein 'Tshabalala', Juuko Murshid, Salim Mbonde, James Kotei, Shiza Kichuya, Mdhamiru Yassin, John Bocco, Emmanuel Okwi, Nicholas Gyan.
Mwadui:
Anold Masawe, Malika Ndeule, David Luhende, Revocatus Mgunga, Abdallah Mfuko, Razack Kharfan, Abdallah Seseme, Awadh Juma, Evarist Mjwahuki, Gerald Mathias/ Benedictor Mwampyate, Hassan Kabunda.



Comments