#UCHAGUZI2020 MCHUNGAJI JOHN KYASHAMA AREJESHA FOMU,UBUNGE KIBAMBA.

#UCHAGUZI2020
MCHUNGAJI JOHN KYASHAMA AREJESHA FOMU,UBUNGE KIBAMBA.



Dar es salaam
Mchungaji na mwanasheria wa kujitegemea ambaye pia ni mwanaharakati huru hapa nchini John Simon Kyashama leo julai 17,2020 amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi ,CCM kumteua kugombea nafasi ya ubunge akipeperusha bendera ya chama hicho katika jimbo la Kibamba jijini Dar es salaam.

Hata hivyo zoezi la kuchukua na kurejesha fomu ndani ya CCM linatarajiwa kumalizika leo jioni hapa nchini ambapo mwitikio umekuwa mkubwa wa kujitokeza kwa wagombea mwaka huu.

Comments