MAGUFULI APOKEWA NA MAELFU YA WANNCHI JIJINI ARUSHA,AHUTUBIA NA KUAHIDI MAKUBWA

 



Sehemu ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kumsikiliza mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Oktoba 23, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kumsikiliza
katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati akimnadi
mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa
Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano wake wa
kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Lowassa na Katibu Mkuu
wa CCM Mstaafu Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kuhutubia maelfu kwa
maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh
Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa
Oktoba 23, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wastaafu waliokuwa miongoni mwa maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wake
wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali
waliokuwa miongoni mwa maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika
katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa
Oktoba 23, 2020

story na picha kutoka MICHUZIBLOG

Comments