MUIGIZAJI 'DUMA'ATANGAZA KUINGIA RASMI KWENYE MUZIKI, AACHIA VIDEO MPYA 'DAWA'

Dar es salaam. Msanii wa filamu na tamthilia katika kiwanda cha 'bongo movie'Duma amesema maneno ya watu hayatamtenganisha na mpenzi wake kutoka kenya aitwaye mish dora.na hivyo ameamua kuingia kwenye muziki rasmi na kuachia kibao kiitwacho 'dawa' ''kumekuwa na comment nyingi katika kurasa zangu za mitandao ya kijamii zikiongea mambo machafu kuhusu mahusiano yanguna mish dora baada ya mpenzi wangu huyo kuandika kwenyemitandao hyo kuwa anataka dawa hivyo leo natangaza rasmi kuingia kwenye muziki na nimeachia video yangu ya kwanza iitwayo 'dawa''amesema duma

Comments