Skip to main content

PICHA: TUME YA MADINI YASHIRIKI MAONESHO KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI JIJINI DAR

 

PICHA: TUME YA MADINI YASHIRIKI MAONESHO KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI JIJINI DAR

Tume ya Madini inashiriki wake katika maonesho yanayoendelea jijini  Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji  katika Sekta ya Madini. 

Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Madini unahusisha wadau wa madini ikiwa ni pamoja na Taasisi za Serikali, Taasisi za Kifedha, kampuni za uchimbaji wa madini, wachimbaji wadogo wa madini, wafanyabiashara wa madini
Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali


Comments