Skip to main content

PICHA: VIONGOZI WA WIZARA YA MADINI WATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI DAR

 

PICHA: VIONGOZI WA WIZARA YA MADINI WATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI DAR

Naibu Waziri wa Madini, Profesa Shukrani Manya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila wametembelea banda la Tume ya Madini katika maonesho yanayoendelea jijini  Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC)katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji  katika Sekta ya Madini
Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Madini unahusisha wadau wa madini ikiwa ni pamoja na Taasisi za Serikali, Taasisi za Kifedha, kampuni za uchimbaji wa madini, wachimbaji wadogo wa madini, wafanyabiashara wa madini nk. 

Maonyesho ya mwaka huu yamebeba Kauli mbiu ya Maonesho ni  _"Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu"

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali


Comments