Skip to main content

WATAKAOJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO [MUM]KUDAHILIWA BURE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR.

 WATAKAOJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO [MUM]KUDAHILIWA BURE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR.

Na Thadei Praygod

Dar es salaam.

Katika jitihada za kuendelea kutoa elimu bora Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya Vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2021/2022 katika chuo kikuu cha waislamu Morogoro (MUM) wametakiwa kufika katika banda la chuo hicho lililopo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam na kufanyiwa udahili papo hapo bila malipo.

Akizungumza katika maonyesho ya 16 ya elimu ya vyuo vikuu katika viwanja hivyo Afisa Udahili Abdul rahman Jafari amesema kuwa chuo hicho kipo katika Mkoa wa Morogoro katika mazingira mazuri na kinatoa elimu katika ngazi za cheti Diploma degree na Masters.

Aidha ameongeza kuwa chuo hicho kinatoa mafunzo katika kozi mbalimbali ikiwemo sheria, uandishi wa habari, uhasibu na masomo ya sayansi.

Hata hivyo amesema Chuo hicho kinatoa fursa mbalimbali ikiwe elimu kwa vitendo hususani kwa wanafunzi wanasomea fani ya uandishi wa habari kwa kufanya mazoezi katika redio ya chuo hicho ambayo inarusha matangazo yake katika mikoa ya Mashariki na kati hivyo kuzalisha wanafunzi wanaoendana na soko.

Hata hivyo amesema Chuo hicho kinatoa fursa mbalimbali ikiwe elimu kwa vitendo hususani kwa wanafunzi wanasomea fani ya uandishi wa habari kwa kufanya mazoezi katika redio ya chuo hicho ambayo inarusha matangazo yake katika mikoa ya Mashariki na kati hivyo kuzalisha wanafunzi wanaoendana na soko.

Kuhusu programe za kipekee na za ziada pia chuo hicho kinatoa programu za ziada zinazowasaidia wanafunzi kupata ufadhili wa kusoma nje ya nchi hususani wanaosoma lugha ya Kichina.

Unaweza kuwasiliana chuo hicho kupitia website yao ya application.mum.ac.tz 


Email:
 info@mum.ac.tz
 mum@mum.ac.tz


Postgraduate Programme

       1. Master of Arts with Education (MAED) - 18 Months

Undergraduate Programmes
  1. Bachelor of Arts with Education (BAED) - 3 Years
  2. Bachelor of Business Studies (BBS) - 3 Years
  3. Bachelor of Islamic Studies with Education (BIED) - 3 Years
  4. Bachelor of Laws with Sharia'h (LLBS) - 4 years
  5. Bachelor of Arts (Mass Communication) - 3 Years
  6. Bachelor of Science (Education) - 3 Years
Diploma Programmes
  1. Diploma in Journalism - 2 Years
  2. Diploma in Science and Laboratory Technology - 2 Years
  3. Diploma in Medical Laboratory Sciences - 3 Years
  4. Diploma in Medical Laboratory Sciences (Upgrading) - 1 Year
  5. Diploma in Procurement and Logistics Management - 2 Years
  6. Diploma in Islamic Banking and Finance - 2 Years
  7. Diploma in Law and Shariah -  2 Years
  8. Diploma in Accountancy - 2 Years
  9. Diploma in Business Administration - 2 Years
Certificate Programmes
  1. Certificate in Journalism - 1 Year
  2. Certificate in Science and Laboratory Technology - 1 Year
  3. Certificate in Procurement and Logistics Management - 1 Year
  4. Certificate in Islamic Banking and Finance - 1 Year
  5. Certificate in Business Administration - 1 Year
  6. Certificate in Accountancy - 1 Year
  7. Certificate in Law and Shariah - 1 Year


Comments