ATLAS SCHOOLS HALF MARATHON 2021 KULISIMAMISHA JIJI LA DAR KESHO.
ATLAS SCHOOLS HALF MARATHON 2021 KULISIMAMISHA JIJI LA DAR KESHO
Dar es salaam.
Shule za Atlas za jijini Dar es salaam hapo kesho wanatarajia kufanya mahafali yao ambayo yataenda sambamba na mashindano ya kukimbia ''Atlas Marathon 2021'' ambayo ni mashindano ya 3 kuandaliwa na shule hizo.
Mashindano ya Atlas Half Marathoni 2021 yanatarajiwa kuhudhuriwa na waziri wa sanaa,utamaduni na michezo Innocent Bashungwa na yataanza saa 12 za asubuhi na baadaye saa 3;30 yakifuata mahafali.
Shule za Atlas zinakuwa ni miongoni mwa shule chache zenye mashindano ya Marathon hapa nchini ambapo mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kiasi cha shilingi laki tatu na nusu fedha taslim za kitanzania.
Hizi hapa chini ni zawadi kwa washindi ikiwa ni kwa mujibu wa tovuti ya shule hizo.
![]() |




Comments