CHONGOLO AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU MAALUM YA CCM WILAYA YA ILALA, AWATAKA KUIJENGA TANZANIA KIUCHUMI

 CHONGOLO AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU MAALUM YA CCM WILAYA YA ILALA, AWATAKA KUIJENGA NCHI KIUCHUMI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Wilaya ya Ilala katika ukumbi wa Arnatoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo.
Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Wilaya ya Ilala wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, alipokuwa akizungumza na katika kikao ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Arnatoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo.
Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Wilaya ya Ilala wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, alipokuwa akizungumza na katika kikao ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Arnatoglo, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo. (Picha zote na CCM Makao Makuu) 

Comments