VAULT MARKETS TANZANIA YAMLETA MFANYABIASHARA MAARUFU WA BIASHARA YA FOREX KUWAJENGEA UELEWA WA BIAHSARA HIYO WATANZANIA.

 

VAULT MARKETS TANZANIA YAMLETA MFANYABIASHARA MAARUFU WA BIASHARA YA FOREX KUWAJENGEA UELEWA WA BIAHSARA HIYO WATANZANIA.


FOREX NI BIASHARA YA UBADILISHAJI WA FEDHA ZA KIGENI AMBAYO IMEONEKANA KUWA NA MZUNGUKO MKUBWA ZAIDI KULIKO BIASHARA YOYOTE DUNIANINI KWANI INAZUNGUSHA ZAIDI YA DOLLA ZA KIMAREKANI TRILLION 5 KWA SIKU.


HII NI BIASHARA AMBAYO IMECHANGIWA SANA NA MAPINDUZI YA TEKNOLOJIA AMBAPO SASA MTU YEYOTE UNAWEZA UKAFANYA BIASHARA HII AMBAPO KUNA MTANDAO WA INTANETI KAMA KOMPYUTA NA SIMU JANJA(smartphone)


Kwa kutambua hilo kampuni ya udalali wa biashara ya forex,(Vault Markets Tanzania)ambayo hutengenezwa platform kwa wanaotaka kufanya(wanaofanya) biashara hiyo imemleta hapa nchini mfanyabiashara maarufu na mwenye mafanikio kupitia biashara hiyo Joash Naidoo kwa lengo la kutoa elimu juu ya biashara ya forex.


Akizungumza na waandishi wa habari katika semina maalum iliyolenga kukuza uelewa juu ya biashara ya forex hapa nchini Bw Ezra Yoyo amesema ili uweze kuingia kwenye biashara ya forex ni lazima utumie ‘brockers’ uweke pesa na uanze biashara (ku trade)na kampuni ya Vault Market ni moja ya brockers waliopo hapa nchini.


Amesema kampuni ya Vault Markets yenye makao yake makuu nchini Afrika ya kusini tayari imefungua matawi katika miji mbalimbali mikubwa katika nchi nchi tofauti barani Africa ikiwemo Namibian na sasa jijini Dar es salaam nchin Tanzania na wana mpango wa kuenea majiji yote hapa nchini.


Akiuzungumzia semina hiyo amesema wameamua kumleta Joash Naidoo ambaye ni forex trader mwenye mafanikio makubwa ili kuja kuwaambia ukweli watanzania juu ya biashara hiyo na jinsi alivyopata mafanikio kupitia kampuni ya brockers ya Vault Market ambayo  ilimpa platform ya kuifanya biashara hiyo ambapo mpaka sasa anafanya.


Aidha amesema kuwa semina hiyo imekuwa na mafanikio makubwa na amewataka watanzania kujiridhisha na biashara ya forex kwani ni moja ya biashara zenye mafanikio makubwa endapo wataitumia kampuni ya Vault Markets kama brockers wa ‘forex trade’.








Comments