Skip to main content

WAZIRI JAFO AZINDUA KAMPENI YA "BAHARI SAFI NI JUKUMU LANGU

 

WAZIRI JAFO AZINDUA KAMPENI YA "BAHARI SAFI NI JUKUMU LANGU"

 Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe.Godwin Gondwe akifanya usafi katika fukwe za bahari Ramada jijini Dar es Salaam akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo pamoja na wadau wa mazingira kwenye uzinduzi wa kampeni ya "Bahari Safi ni Jukumu langu".  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo akiwa pamoja na wadau mbalimbali wa mazingira wakifanya usafi katika fukwe za bahari leo Julai 8,2022 Ramada Jijini Dar es Salaam kwenye uzinduzi wa kampeni ya "Bahari Safi ni Jukumu langu". Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo akipanda mti kwenye fukwe za bahari Ramada Jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni ya "Bahari Safi ni Jukumu langu".

Comments