MATUKIO YA PICHA - RAIS MSTAAFU ALHAJ MWINYI KUSHUHUDIA UWEKAJI MAJI KATIKA BWAWA LA MWALIMU NYERERE.

 MATUKIO YA PICHA - RAIS MSTAAFU ALHAJ MWINYI KUSHUHUDIA UWEKAJI MAJI KATIKA BWAWA LA MWALIMU NYERERE.

IMG-20221222-WA0027

Rais wa awamu ya Pili Alhaj Ally Hassan Mwinyi akiwasili katika Eneo la kushuhudia uwekaji Maji kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere kutoka Rufiji, Mkoani Pwani, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ataongiza Tukio Hilo.

#bwawaletunyerere

Comments