WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI

KUELEKEA SIKU YA MALARIA DUNIANI: WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI



NA THADEI PRAYGOD 

Ungana na waziri mkuu wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa pamoja na wizara ya afya katika maadhimisho ya siku ya malaria duniani April 25,2023 katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es salaam

Wananchi wote mnakaribishwa.

WAKATI WA KUTOKOMEZA MALARIA NI SASA,BADILIKA,WEKEZA,TEKELEZA


Comments