Skip to main content
HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZILIZONDULIWA MLIMA KILIMANJARO
HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZILIZONDULIWA MLIMA KILIMANJARO
MABEKI wa Simba SC kutoka kushoto Mcameroon Che Fondoh Malone Junior, mzawa Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ na Mkongo Henock Inonga Baka ‘Varane’ wakiwa wamevaa jezi mpya za nyumbani za timu hiyo kuelekea msimu mpya ambazo zimezinduliwa leo kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Comments