MASAUNI ALITAKA BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUWA MADHUBUTI


Na Thadei Praygod

Waziri wa mambo ya ndani Eng Hamad Masauni amelitaka baraza la usalama barabarani hapa nchini kuhakikisha wanasimamia taratibu zote kuhakikisha matukio ya ajali yanapungua hapa nchini hususan wakati huu wa mwisho wa mwaka.

Waziri Masauni ameyasema hayo jijini Dar es slaam leo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa baraza hilo.

Amesema baraza hilo ni lazima liendelee kusimamia kwa nguvu ili kuhakikisha sheria zote za barabarani zinafuatwa.

Hata hivyo amevitaka vikosi vya usalama barabarani kuhakikisha madereva wote wazembe wananchukuliwa hatua kali za kisheria kwani husababisha ajali ambazo huacha walemavu,wajane na mayatima.


Waziri wa 









Comments