SERIKALI YAELEZA MAFANIKIO ILIYOYAPATA KATIKA MKUTANO WA AFRIKA WA KAHAWA

 


Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali imepata mafanikio makubwa kupitia mkutano wa Afrika wa kahawa.


Msigwa ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dar Es Salaam na kusisitiza kuwa mkutano huo umetoa fursa kwa Tanzania katika uzalishaji wa kahawa.

Amesema kufuatia faida hizo wanatarajia kuanza kujengwa kwa viwanda ambavyo vitakuwa vikisindika bidhaa hiyo.

Comments