JERUSA KITOTO ACHUKUA FOMU AKIOMBA CCM KUMTEUA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

JERUSA KITOTO ACHUKUA FOMU AKIOMBA CCM KUMTEUA KUGOMBEA UBUNGE KINONDONI

.



NA MWANDISHI WETU, DAR 

Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM,tawi la Msisiri B lililopo Mwananyamala,Bi Jerusa Kitoto amechukua fomu ili kuomba ridhaa ya chama chake kumteua kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kinondoni.

Bi Jerusa ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Sauti ya mtoto Foundation anakuwa ni mtia ni wa pili mwanamke kuchukua fomu ili kuomba ridhaa kugombea katika jimbo hilo.

Bi Jerusa amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Amos Richard.














Comments