QS MHONDA:WAGOMBEA WENZANGU TUWE WATULIVU TUKISUBIRI MCHUJO




 Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa aliyemaliza Muda wake kuwakilisha Wilaya ya Kinondoni (Jumuiya ya Wazazi CCM), pia Mmilliki wa makampuni ya “QS Mhonda J Apex Group of Companies Ltd” ikiwa pamoja na makampuni ya Ujenzi (Ukandarasi na Ushauri Majenzi) na Uwekezaji mbalimbali, tena  pia ni mfadhili wa Wanamuziki na Wasanii mbalimbali ndugu Qs Mhonda, 

 Joseph Boniface (Mtia nia ya kugombea  nafasi ya ubunge  jimbo  la kinondoni) amewaasa wagombea wenzie wa Ubunge na wana CCM kwa ujumla kuwa watulivu kwenye mchakato wa ndani wa kuwapata wawakilishi wa CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa nje, Qs Mhonda, J. amesisitiza kwa kusema “Chama kwanza na Mtu baadae”

Comments