AHADI 10 ZA DKT SAMIA SIKU 100 ZA

 Mgombea wa Urais Kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025 ametoa ahadi zifuatazo katika siku zake 100 za kwanza akiwa madarakani;


1. Marufuku kuzuia miili ya Marehemu hospitalini


2. Bima ya Afya kwa Wazee, Watoto, Walemavu


3. Wagonjwa wa saratani, sukari, figo kugharamiwa kwa aslimia 100


4. Wahudumu 5,000 wa afya kuajiriwa


5. Walimu wapya 7,000 kuajiriwa


6. Bilioni 200 kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo


7. Kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya


8. Mawaziri, wakuu wa mikoa kuwajibika kwa wananchi


9. Kurasmisha sekta isiyo rasmi


10. Kuanzisha Gridi ya Taifa ya Maji

Comments