MASHINDANO MAKUBWA YA MAPISHI YATAFANYIKA JUMANNE YA AUGUST 26,2025 MSASANI BEACH CLUB
MASHINDANO MAKUBWA YA MAPISHI YATAFANYIKA JUMANNE YA AUGUST 26,2025 MSASANI BEACH CLUB
🔥 Mashindano makubwa ya Mapishi yatafanyika Jumanne, 26 Agosti pale Msasani Beach Club! 🍽️ Yameandaliwa na Ngome ya Mama Samia (NMS) kwa ushirikiano na CAM GAS, Lengo ni kuhamasisha matumizi ya Gesi safi ya LPG amabyo ni nafuu, salama, na rafiki kwa mazingira. 🌱
🗓️ Usikose tarehe 26!
📞 Jisajili sasa kwa kutuma neno “JISAJILI” kwenda +255 746 990 111
#CamGas #NishatiSafi #MapishiBilaMoshi #MamaSamiaNgome #JikoniBilaMkaa
Comments