MNEC NDELE MWASELELA NA DKT NCHIMBI WAENDELEA KUZISAKA KURA MBEYA
Afisa Mwandamizi wa CCM Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni kaimu Mwenyekiti wa chama hicho katika Mkoa huo (Mnec),Ndele Mwaselela ashiriki mazungumzo muhimu na mgombea mwenza wa urais Dk. Emmanuel Nchimbi katika mkutano wa kampeni jimbo la Lupa, Mbeya.
Mazungumzo hayo ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uungwaji mkono kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, ambapo wananchi watawachagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Mwaselela aliungana na Dk. Nchimbi katika ziara yake ya kukagua na kufanya mikutano katika wilaya zote za mkoa wa Mbeya, akisisitiza ujumbe wa chama kuhusu umoja na maendeleo.


.jpeg)
Comments