WANANCHI WAMIMINIKA VIWANJA VYA SABASABA KATIKA TAMASHA LA KUFUNGA MWAKA KIJANJA NA TAWA

 WANANCHI WAMIMINIKA VIWANJA VYA SABASABA KATIKA TAMASHA LA KUFUNGA MWAKA KIJANJA NA TAWA


Wananchi wanaendelea "kumiminika" katika Viwanja vya SabaSaba Kilwa Road Jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Kufunga mwaka Kijanja na TAWA linaloendelea katika Viwanja hivyo mpaka Januari 05, 2026.

Tawa inawakaribisha Wananchi wote mnakaribi kuburudika, kuelimika na kujifunza mengi kuhusu Uhifadhi na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo chini ya Usimamizi wa taasisi ya TAWA sanjari na kupata fursa ya kununua na kumilikishwa nyara za Serikali zikiwemo ngozi za Simba, Chui, Fisi na nyingine nyingi.

Pia utapata fursa adimu ya kula nyamapori choma za wanyamapori wa mwituni, kupiga picha na taswira za wanyamapori wa aina mbalimbali na kubaki na kumbukumbu isiyosahaulika

Comments