Singida Black Stars Watupwa Nje ya CAFCC Baada ya Kifungwa 1-0 na CR Belouizdad

 

Singida Black Stars Wasukumizwa Nje ya CAFCC Baada ya Kifungwa 1-0 na CR Belouizdad


Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) wamesukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Sead Ramovic na vijana wake wa CR Belouizdad katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar kwenye mchezo wa kundi C wa CAFCC.

𝐅𝐓: 𝐒𝐢𝐧𝐠𝐢𝐝𝐚 𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐒𝐭𝐚𝐫𝐬 🇹🇿 𝟎-𝟏 🇩🇿 𝐂𝐑 𝐁𝐞𝐥𝐨𝐮𝐢𝐳𝐝𝐚𝐝
⚽ 03’ Belhocini

𝑀𝑆𝐼𝑀𝐴𝑀𝑂 𝐾𝑈𝑁𝐷𝐼 𝐶 𝐶𝐴𝐹𝐶𝐶
1. 🇩🇿 𝐶𝑅 𝐵𝑒𝑙𝑜𝑢𝑖𝑧𝑑𝑎𝑑 – 𝑝𝑜𝑖𝑛𝑡𝑖 12
2. 🇨🇬 𝑂𝑡𝑜ℎ𝑜 𝑑’𝑂𝑦𝑜 – 𝑝𝑜𝑖𝑛𝑡𝑖 9
3. 🇹🇿 𝑆𝑖𝑛𝑔𝑖𝑑𝑎 𝐵𝑙𝑎𝑐𝑘 𝑆𝑡𝑎𝑟𝑠 – 𝑝𝑜𝑖𝑛𝑡𝑖 4
4. 🇿🇦 𝑆𝑡𝑒𝑙𝑙𝑒𝑛𝑏𝑜𝑠𝑐ℎ – 𝑝𝑜𝑖𝑛𝑡𝑖 4

MECHI ZA MWISHO KUNDI C CAFCC

CR Belouizdad 🇩🇿 🆚 🇨🇬 Otoho d’Oyo
Stellenbosch 🇿🇦 🆚 🇹🇿 Singida Black Stars

Comments