WANAWAKE WA TANESCO WANG’ARA KATIKA KONGAMANO LA NISHATI SAFI DAR ES SALAAM

 WANAWAKE WA TANESCO WANG’ARA KATIKA KONGAMANO LA NISHATI SAFI DAR ES SALAAM

Baadhi ya wanawake wa TANESCO wakiwa katika picha mbalimbali wakati wa Kongamano la Pili la Wanawake wa TANESCO lililofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es Salaam, likilenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa umeme pamoja na kujadili masuala ya kijamii na kifamilia.

Comments