TUZO NNE ZANYAKUWA NA KAMPUNI YA HANSPAUL GROUP,USIKU WA PMYA 2026
Kampuni ya Hanspaul group imenyakua tuzo nne katika usiku wa tuzo za rais za wazalishaji bora wa mwaka (PMAYA)zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa The Superdome,Oyster bay jijini Dar es salaam.
Tuzo hizo zimetolewa kwa kampuni hiyo na Waziri wa viwanda,Judith Kapinga na kupokelewa na mkurugenzi wa makampuni hayo,Satbir Singh Hanspaul huku mgeni rasmi wa tuzo hizo akiwa ni makamu wa Rais wa Tanzania,Deogratius Ndejembi.
Miongoni mwa makampuni yaliyonyakua tuzo hizo nne ni pamoja Dharam Singh Hanspaul and Sons Ltd - Construction, Metal and Metal Products,Hanspaul Industries Ltd - Paper and Paper Products
Mengine ni Hanspaul Automechs Ltd - Specialised Motor Vehicles and 4x4 Accessories pamoja na E Motiion Africa Ltd - EV Vehicles





Comments